WIMBI la mauaji ya kutisha limeendelea kutikisa nchini, baada ya watu wasiojulikana kuwaua mama na watoto wake wawili kwa kuwakatakata kwa mapanga usiku wa kuamkia juzi.
Tukio hilo la kusikitisha lilitokea katika Kijiji cha Nata wilayani Nzega mkoani Tabora.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tabora,
Suzan Kaganda, jana aliwataja waliouawa kuwa ni mama Leticia Thomas, Marietha
Nicolaus ambaye ni mwanafunzi wa darasa la pili katika Shule ya Msingi
Mwanaruru na Magreth Nicholas ambaye umri wake haukutambulika.
“Mama wa watoto hao aliuawa kwa kukatwakatwa kwa mapanga sehemu za
kichwani na bega la kushoto, hali iliyosababisha apoteze maisha hapo
hapo kutokana na majeraha mengi.
“Lakini pia watoto Marietha na Magreth nao walikatwakatwa hivyo
hivyo… mauaji haya ni mabaya, tunaendelea na msako mkali wa kuhakikisha
wahusika wanatiwa nguvuni,” alisema Kamanda Kaganda.
Alisema mpaka sasa chanzo cha mauaji hayo ya kinyama hakijajulikana,
ingawa kuna taarifa kuwa inawezekana yamesababishwa na masuala ya
mapenzi.
“Polisi tunaendelea na uchunguzi wetu wa kina, hatujapata chanzo cha
mauaji haya, tunaomba mtupatie muda wakati huu ambao askari wangu
wanaendelea na kazi,” alisema Kamanda Kaganda.
Alisema mpaka jana hakuna mtu hata mmoja aliyetiwa mbaroni kuhusiana na mauaji hayo.
“Kwa vile polisi tunafanya kazi zetu kisayansi, naamini tutafanikiwa
ingawa mpaka sasa hakuna mtu aliyetiwa mbaroni,” alisema Kamanda.
Alisema taarifa za kugundulika kwa miili hiyo zilitolewa na majirani
ambao walilazimika kwenda kumwangalia mama Magreth baada ya kuona
amechelewa kuamka.
“Inaonekana baada ya tukio lile kulipopambazuka asubuhi, mama Magreth
alikuwa hajafungua mlango majirani wakaamua kwenda kugonga mlango
walipoona kimya wakaamua kuvunja mlango na kukuta familia yote imeuawa,”
alisema Kamanda.
Matukio ya watu kuchinjwa yamekuwa yakitokea kila mara ambapo
Septemba 16 mwaka huu, mfanyabiashara aliyefahamika kwa jina la Melasi
Ndabi aliuawa kwa kuchinjwa na watu wanaodaiwa kufika nyumbani kwake
katika Kijiji cha Lisu wilayani Nzega, Mkoa wa Tabora.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >