Msanii wa kundi la Wanaume Family YP aliyefariki usiku wa kuamkia leo kwa ugonjwa wa kifua, anatarajiwa kuagwa kesho (October 22) kwenye viwanja vya TCC Chang’ombe na baada ya hapo atazikwa katika makaburi ya Chang’ombe karibu na maduka mawili.
Akizungumza na mtandao huu jioni hii, kiongozi wa kundi la TMK Wanaume
Family amesema mpaka sasa wapo kwenye maandalizi ya mazishi
yatakayofanyika kesho saa kumi jioni.
“Kwajinsi ratiba ilivyo msiba utakuwa nyumbani kwa baba yake, kwenye
nyumba ya marehemu baba yake kwahiyo kesho tunatarajia tukiweza tumuage
pale Chang’ombe na baada ya hapo tutazika kwenye makaburi ya Chang’ombe
hapo karibu na maduka mawili,” amesema Fella.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >