Mtandao wa kijamii wa FaceBook ni miongoni mwa mitandao yenye wafuasi wengi na unaopendwa zaidi Dunia, Kwa historia fupi ni kwamba mmuanzilishi wa Facebook ni kijana mdogo anayefahamika kwa jina la Mark ZuckerBerg(29) ambaye asili yake ni Raia wa Israel anayeishi nchini marekani.
Haya ni mambo makubwa matano usiyoyafahamu kuhusu mtandao wa Facebook.
(1.) Idadi ya watumiaji wa mtandao wa Facebook Dunia(Active Users) ni Milioni 901 kwa mwaka huu ukilinganisha na miaka michache ya nyuma ambapo idadi ilikuwa ni watumiaji Milioni 680.
(2.)Kila siku jumla ya Picha Milioni 300 huwa zinakuwa zinapakiwa(UPLOADED) katika mtandao wa Facebook.
(3.)Jumla ya LIKES na COMMENTS Bilioni 3.2 zinazokuwa posted katika mtandao wa Facebook kwa siku.
(4.) Kama ulikuwa hufahamu ni kwamba MAPATO yatokanayo na mtandao wa Facebook kwa robo ya mwaka jana wa 2012 ni jumla ya Dola Bilioni 1.058, kutoka Dola Milioni 730 ukilinganisha na miaka ya nyuma iliyopita.
(5.) Kwa sasa mtandao wa Facebook unawafanyakazi wapatao 3,539 ambao wapo katika ajira ya kudumu(Full-Time Employees).
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >