MFANYABIASHARA
wa mjini Tarime mkoani Mara, Wilson Weso maarufu Kishimba (34) amekufa
kwa kile alichodaiwa amekunywa sumu nyumbani kwa baba mkwe wake.
Inadaiwa
alifanya hivyo nyumbani kwa baba mkwe, Chacha Sasita ambaye ni mkazi wa
kijiji cha Rebu kata ya Turwa, kutokana na mgogoro na mke aliyemtoroka
na kwenda jijini Mwanza na kumwachia watoto wawili.
Kamanda wa Polisi Tarime Rorya, Lazaro Mambosasa alisema kifo hicho kilitokea juzi.
“Alifariki dunia kwa kunywa kitu kinachodhaniwa ni sumu,” alisema kamanda.
Kwa
mujibu wa kamanda, baada ya mke wa mfanyabiashara huyo kuondoka,
alichukua watoto alioachiwa na kuwapeleka kwa baba mkwe kabla ya kunywa
sumu.
"Mwili
wa marehemu uligunduliwa muda mchache na wakazi wa kijiji hicho cha
Rebu ambapo askari wetu walifika na kuuchukua mwili huo na kuupeleka
chumba cha maiti katika Hospitali ya Wilaya kwa uchunguzi zaidi,”
alisema Kamanda huyo na kuongeza kwamba polisi inaendelea na uchunguzi.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >