Akiongea kwenye kipindi cha Siz Kitaa cha Clouds TV hivi karibuni,
Noorah alidai alikuwa na tatizo la kujikunja kwa utumbo lililodumu kwa
miaka 20. Amesema wakati tumbo likimuuma alikuwa akidhani ni vidonda vya
tumbo.
“Doctor amekuja kunifanyia operesheni, baada ya operesheni akamuita
mama pembeni. Akamwambia ‘mama huyu mwanao ana Mungu sana’. Maana kitu
alichokikuta huko tumboni, hakuna binadamu anaweza akawa hai kwa hali
ile. Utumbo wangu mdogo ulikuwa umejikunyata wote. Akauliza ‘alikuwa
anapataje choo huyo!’"
Alisema operesheni hiyo ilidumu kwa masaa sita na ilifanyika kwenye hospitali ya Kairuki jijini Dar es Salaam.
“Nimetoka dokta anasema utumbo wangu ulikuwa umekuwa mdogo kama wa
mtoto mchanga kwahiyo ulikuwa unapitisha chakula kwa tabu sana. Kwahiyo
kipindi hicho nilikuwa nakula vyakula vya kusaga tu, na vyenyewe
sometimes vingine havipiti.”
Pamoja na kuwa amepona tatizo hilo, Noorah amesema ana tatizo jingine
linalofanya awe anapata vitu kama vifafa (seizure) ambavyo
vimesababisha na ajali aliyopata mwaka 2005 iliyomfanya apate tatizo
kwenye ubongo.
“Sasa hivi dokta ameshanipa treatment na ameniomba nije
nipate mind rest,” alisema Noorah ambaye kwa sasa amerejea kwao
Shinyanga kama sehemu ya maagizo ya wataalam.
Noorah aliwaasa wasanii na watu wengine kuwa na desturi ya kuchunguza afya zao mara kwa mara kubaini matatizo yanayowasumbua.
-Mpekuzi
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >