Habari Kali
Loading...

Ofisi ya Masijala Idara ya Ardhi Kigoma Yachomwa moto...!! Watu Wanne Watiwa Mbaroni

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Watu wanne wanashikiliwa na polisi mkoani Kigoma kwa tuhuma za kuchoma moto ofisi ya masijala ya Idara ya Ardhi ya Manispaa ya Kigoma Ujiji na kuteketeza hati na nyaraka mbalimbali.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kigoma, Jafari Ibrahim, aliwataja watuhumiwa hao kuwa ni Anna Fanuel (46), Makrina Paul (49), Saimon Pius (37) na Tumaini Esau (44).

Alisema Oktoba mosi, mwaka huu saa 4.15 usiku, ofisi ya masijala ya idara hiyo ilichomwa moto na kuteketeza hati na nyaraka mbalimbali. Kamanda Ibrahim alisema uchunguzi wa awali unaonyesha kitendo hicho ni njama za kupoteza vielelezo nyeti.

Alisema kuwa uchunguzi umebaini kuwa idara hiyo imegubikwa na migogoro inayohusiana na ugawaji wa viwanja.


“Uchunguzi wetu wa awali unaonyesha watu hao walitumia mafuta ya petroli kuchoma ofisi hiyo…tunaendelea kufuatilia zaidi tukio hili,” alisema Ibrahim.
-Mpekuzi

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top