Habari Kali
Loading...

POLISI WAPIGANA NA WANAJESHI NA KURUSHIANA RISASI BAADA YA WANAJESHI KUWATOLEA LUGHA ZA MATUSI..!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
RisasiHii ni taarifa kutoka Tarime mkoani Mara ambako watu 12 wamejeruhiwa wakati wa mashambulizi ya kurushiana risasi kati ya askari wa JWTZ kituo cha Nyandoto na polisi wa kituo cha stendi.
Kwa mujibu wa magazeti ya Nipashe na Mwanachi leo, hii ishu ilitokea wakati Wanajeshi hao walipokua wakijaribu kumchukua Mwanajeshi mwenzao aliyekamwatwa na polisi hao kwa kosa la kuendesha pikipiki bila kuvaa kofia (Helmet).
Mashambuliazi hayo ya kurushiana risasi na kupigana ngumi na mateke yalitokea juzi jioni katika kituo hicho cha stendi ambapo Mganga Mfawidhi Hospitali ya Tarime alithibitisha kupokea majeruhi 12 na kati yao wawili ni askari wa JWTZ, Polisi saba na raia watatu.
Kamanda wa Polisi Tarime alisema Mwanajeshi huyo licha ya kukiuka taratibu za barabarani aliwatolea lugha za matusi polisi hao jambo lililowalazimu kumkamata kwa nguvu na wanajeshi wenzake kuingilia kati na kusababisha vurugu.
Alisema Wanajeshi watatu ambao hawakutajwa majina wameshikiliwa na polisi kwa kuvunja utaratibu wa usalama huku Mkuu wa Wilaya hiyo John Henjewele akilaani kitendo hicho cha kurushiana risasi za moto hewani na kusema ni cha utovu wa nidhamu na kilikwamisha shughuli za watu kwa muda sababu ya kuhofia usalama wao.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top