Habari Kali
Loading...

RADI YAJERUHI WANAFUNZI 17 MWANZA BAADA YA MVUA KALI KUNYESHA KWA ZAIDI YA SAA 1

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Wanafunzi 17 wa Shule ya Sekondari Kabuholo wilayani Ilemela jijini Mwanza, wamejeruhiwa na radi kufuatia mvua kubwa ilioyonyeshwa jijini humo kwa saa moja.

Tukio hilo lilitokea jana saa 1.45 asubuhi wakati  radi hiyo ilipowapiga wanafunzi wa kidato cha nne 15, mmoja kidato cha tatu na mwingine kidato cha kwanza.

Akizungumza na mwandishi wetu jana, Mwalimu wa mazingira wa shule hiyo, Humphrey Massawe, alisema tukio hilo lilitokea wakati wanafunzi hao wakiwa darasani huku mvua kubwa ikiendelea kunyesha na radi hiyo kupiga na kuwajeruhi wanafunzi hao.

“Wakati mvua ikiendelea kunyesha walifika baadhi ya wanafunzi ofisini kwa walimu na kusema wenzao wa kidato cha nne wamepigwa na radi…nilipoenda nikawakuta baadhi yao wakiwa wamepoteza fahamu huku Joyce Juma (19), akiwa amelala chini na ameng’ata ulimi na shati lake likiwa limeungua mgongoni,” alisema Massawe.


Muuguzi wa zamu, Aquilina Shai, alisema waliwapokea wanafunzi 17 kutoka sekondari hiyo, Jofrey Dioniz (19), Joyce Juma (19), Flora Magesa (18), Lucy Jonas, John Bwire (17), Yohana Zabron, Mohamed Edwin, Frank Cuthbert na Asimwe Joseph.

Shai aliwataja wengine kuwa ni Aisha Juma, Lucy David, Hawa Musa, Faraja Richad, Anita Robert, Martha Zakaria na Neema Deus.

“Kati yao 14 miwongoni mwao waliruhusiwa baada ya kutibiwa huku watatu Joyce, Neema na Dioniz wakiwa wamelazwa kutokana na hali zao kuwa mbaya,” alisema Shai.


Hata hivyo, Kamanda wa polisi mkoa wa Mwanza, Valentino Mlowola, alisema bado hajapata taarifa kuhusiana na tukio hilo

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top