Habari Kali
Loading...

Rekodi mpya waliyoweka FC Barcelona kwenye La Liga hii hapa!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
FC-Barcelona-v-Club-Leon-Joan-Gamper-TrophyBarcelonawamefanikiwa kutengeneza rekodi kadhaa usiku wa leo katika ligi kuu ya Hispania baada ya kupata matokeo chanya dhidi ya Rayo Vallecano kwenye dimba la Estadio del Rayo Vallecano.
FC Barcelona ilifanikiwa kushinda mechi hiyo kwa ushindi wa magoli 2-0 – Messi na Neymar wakifunga magoli hayao.
Kufuatia ushindi huo wa 2-0, Barca imefanikiwa kuweka rekodi ya nzuri kwenye safu ya ulinzi.
Kikosi cha Luis Enrique sasa kimefanikiwa kuwa timu ya kwanza katika historia ya La liga kucheza mechi 7 za mwanzoni mwa ligi hiyo bila kuruhusu wavu kugushwa.
Pia wakati huo huo golikipa wa timu hiyo, Mchile Claudio Bravo ameweka rekodi mpya ya katika kulinda lango lake.
Bravo amevunja rekodi ya kucheza dakika nyingi bila kuruhusu wavu wake kuguswa, mpaka kufikia sasa Bravo amecheza jumla ya dakika 561 bila kufungwa goli, akivunja rekodi ya golikipa wa zamani wa Barca, Pedro Artola aliyecheza kwa dakika 560 bila kufungwa goli katika msimu wa  1977-78.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top