Wakiongea na ITV baada ya abiria waliokuwa wanasafiri na meli hiyo kutoka mjini Bukoba kwenda mwanza wamesema meli hiyo imekuwa ikipata hitilafu za mara kwa mara bila kuchukuliwa hatua na kwamba katika safari ya jana meli hiyo iliondoka mjini bukoba saa tatu usiku lakini ilizima mara tatu ndani ya maji na hivyo ikachelewesha safari ya meli hiyo ambayo ilifika katika bandari ya kemondo saa tisa usiku na kuleta usumbufu na wasiwasi kwa abiria waliokuwa wanasafiri na meli hiyo.
Kwa upande wake nahodha wa meli hiyo John Mwita amesema meli hiyo ilipata hitilafu kutokana na usukani kuwa mbovu hali ambayo ilisababisha meli hiyo kuzimika mara kwa mara na kwamba tayari kampuni ya huduma za meli imeagiza vipuri kwaajili ya matengenezo ya meli hiyo ambayo inatarajiwa kuendelea na safari baada ya matengenezo kukamilika ambapo meneja wa bandari ya kemondo joashi miso amesema meli hiyo ilikuwa na abiria zaidi ya mia nne na hamsini na tani mia moja na hamsini za mizigo na amewataka abiria kuwa watulivu wakati taratibu za kutatua tatizo hilo zikiendelea.
Kufuatia tukio la kukwama kwa meli hiyo ya mv victoria katika bandari ya kemondo, wengi wa abiria wa meli wakiwa na hasira walifunga barabara kutoka mjini bukoba kwenda muleba inayopita karibu na bandari ya kemondo kama njia ya kushinikiza uongozi wa bandari kuwarudishia nauli ili waweze kuendelea na safari yao kwa njia ya barabara ingawa baadae jeshi la polisi mkoani kagera lilifanikiwa kudhibiti hali hiyo na kuruhusu magari kuendelea na safari zao.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >