Msanii maarufu wa filamu nchini King Majuto amesema kuwa ana nia ya kufanya filamu ya pamoja na Wema Sepetu na Diamond Platnumz.
Akizungumza na Bongo5,
King Majuto ambaye filamu zake nyingi zinafanya vizuri sokoni alisema
kuwa amekutana na Wema hivi majuzi na kumueleza hilo na kumtaka
azungumze kuhusu project hiyo ili Diamond akikubali wafanye kazi pamoja.
Majuto alisema kuwa sio kwamba yeye ameshindwa kuzungumza na Diamond
bali kwasababu ameanza kukutana na Wema ndiyo akamweleza kwanza.
"Hivi karibuni nilikuwa na Wema, nimemwamia aongee na Diamond ili
tufanye filamu ya pamoja mimi Wema na Diamond, hata Diamond
ninawe kuzungumza nae sema nimeanza na Wema Kwanza, akikubali mtasikia
tu" alisema King Majuto ambapo pia alisema ili kucheza filamu ya mtu ni lazima alipwe mil.3 cash.
Ingawa uwezo wa Diamond katika filamu bado haujulikani lakini kama
mastaa hao wote watu wakiwa ndani ya filamu moja na kupata msambazaji
mzuri na mkweli ni lazima wafaidike kwa mauzo makubwa ya filamu hiyo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >