Habari Kali
Loading...

SIMUELEWI HUYU BINTI, AMENITENDA ILA BADO ANANING'ANG'ANIA..!! USHAURI JAMANI NIFANYEJE...??

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Kuna binti (mwanachuo) ambaye tulikubaliana kuwa baada ya miaka kadhaa tutaunda kafamilia ketu, Baada ya miaka miwili ya mahusiano yetu (march 2013) nilipata tatizo la kusimamishiwa mshahara na ndani ya kipindi hicho huyo mrembo(aliyekuwa mchumba wangu) aliniambia kuwa anashida ya pesa, Nami kwa kusema ukweli sikuwa na kitu na ningefanyaje hali ya kuwa nishazoea kukinga kwenye ATM mashine tu..!! Nikampa ukweli kuwa nimevamba kwasababu sina mshahara ila hakuniamini, Akaanza kuniropokea maneno mi nikamwambia "usinisumbue kwani we si huna wazazi na wanajua uko chuo? Waambie wakutatulie tatizo lako kama kweli ni la msingi."


Na ukweli wazazi wake hawana njaa sana. Ila baada ya hapo mawasiliano hayakuwa mazuri nami sikumfatilia kwasababu nilimuona sio muungwana, Yeye alikuwa ananipigia mara chache lakini maongezi yalikosa utamu ule uliozoeleka. Mwezi wa nane nilihudhuria mafunzo fulani yaliyonilazimu ninunue modem ya Airtel hivyo nikapata namba mpya ya simu na kwakuwa nilijiunga na vifurushi ktk laini hiyo mpya nilikuwa na muda na sms za kutosha. 

Jion moja nikamtext "Niambie mke wangu?" Akanijibu kwa ukali lkn nikamzingua hadi akawa mlaini japo hakunijua mimi nani. Tukaendelea kuchat hadi ukafika muda nikamlazimisha aniambie mimi ni nani maana alishaniambia yeye ana mume mmoja ila alipotaja jina nusura chozi linitoke kwani alinitajia jina tofauti na langu. 

Nikakaa kidogo nikampigia aliposikia sauti yangu akapatwa na bumbuwazi akakata simu, nikampigia tena akapokea lakini hakuweza kuongea la maana alianza kulia huku akiniambia huyo aliyenitajia ni jamaa mmoja wa first year(ye ni 2nd yr). Alimtongoza tu walikuwa wanawasiliana na anamuita mumewe,baby ili tu amnyenge pesa zake ila hajasex nae hivyo nisiamue lolote. 

Niliamua kumpuuzia toka siku hiyo ila bado ananisumbua anaomba nimsamehe ili tutimize lengo letu. Kinachonisumbua zaidi sikubahatika kufanya maamuzi ya wazi nimekaa kimya tu nausikilizia upepo japo maisha bila mpenzi nimeyaona ya amani ila hayana furaha.


SASA WAUNGWANA NIPENI MAWAZO YENU, NIFANYAJE...???

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top