THEA upo? MUME wa msanii wa filamu za Kibongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’, Michael Sangu ‘Mike’ amenaswa akila raha na kifaa kipya (mwanadada) ndani ya Club East 24, Mikocheni jijini Dar ambapo kulikuwa na onesho la B Band.
Mume wa msanii wa filamu za Kibongo, Ndumbagwe Misayo ‘Thea’, Michael Sangu ‘Mike’ akipozi kimahaba na kiburudisho kipya ndani ya Club East 24, Mikocheni jijini Dar .
Kumbukumbu inaonesha, Thea na Mike wamerudiana hivi karibuni baada ya kumwagana kwa kipindi cha miezi kadhaa kutokana na kupishana kauli ndani ya nyumba.
Siku hiyo, Mike na mwanadada huyo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, walikuwa wakijiachia ukumbini hapo huku wakipata kinywaji na kushushia na mishikaki ya bata.
Baada ya washakunaku kumshuhudia Mike akitesa na binti huyo, walianza kuizungumzia ndoa yake na Thea na kusikika wakikumbushia ndoa yao jinsi ilivyoyumba kiasi cha wawili hao kutengana kabla ya kurudiana.
“Thea upo? Vibinti kama hivi vya mjini si vya kuviamini vikae na mumeo,” alisikika dada mmoja aliyeomba hifadhi ya jina?
Kufuatia tukio hilo paparazi wetu alifanikiwa kuzungumza na Mike na kumuuliza kuhusu uhusiano wake na mrembo huyo ambapo alisema dogodogo huyo hakuwa akimjua isipokuwa alimshtukia eneo hilo na kumlazimisha amnunulie mishikaki.
“Mimi simjui wala nini nimeshangaa amenivaa ghafla anasema yeye ni shabiki wangu baada ya hapo akaanza kunilazimisha nimnunulie mishikaki na kinywaji,” alisema Mike
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >