Habari Kali
Loading...

VITA YA WABUNGE WAREMBO, SIRI NJE

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
IMEFICHUKA! Madai ya Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Geita, Vicky Paschal Kamata kuwatumia meseji za kashfa wabunge wenzake, Lucy Thomas Mayenga (CCM) na Catherine Valentine Magige (UVCCM)Mkoa wa Arusha sasa mambo hadharani.
Mbunge wa CCM kupitia kadi ya Umoja wa Vijana (UVCCM), Mkoa wa Arusha, Catherine Valentine Magige .
Kwa mujibu wa chanzo chetu, wabunge hao warembo wako katika vita baridi ikiendeshwa chini kwa chini kwa Cathy (pichani) na Lucy kudai kwamba wamekuwa wakitumiwa meseji zenye kejeli na kashfa nzito kutoka kwa mheshimiwa Vicky.
KUNA SABABU?
Kwa mujibu wa chanzo chetu, licha ya sababu kutokuwa wazi sana, lakini madai ni kwamba wana bifu linalokimbilia mwezi wa nne sasa.
“Unajua si rahisi wao kuweka wazi bifu lao, lakini wenyewe watakuwa wanajua nini kiini, ukifuatilia utagundua kuwa maisha yao yamekuwa ni ya vikundivikundi, akina Lucy wana kundi lao na Vicky ana la kwake,” kilisema chanzo hicho.
Mbunge wa CCM kupitia tiketi ya Umoja wa Vijana, Lucy Thomas Mayenga
KWA NINI VICKY?
Chanzo kiliendelea kuanika kwamba, baada ya meseji zinazodaiwa kukosa staha kutumwa na asiyejulikana kwenda kwenye simu za mkononi za Cathy na Lucy, waheshimiwa hao hawakupembua sana mchele, moja kwa moja wanadaiwa kumtaja hasimu wao kwenye vyombo vya dola kuwa huenda anahusika na ‘utundu’ huo.
POLISI WAFUATILIA MINARA YA SIMU
Duru za kipolisi zinadai kuwa kufuatia waheshimiwa hao kumlalamikia Vicky, wana usalama hao walianza kuchunguza mawasiliano yake ambapo walibaini mambo makuu mawili.
KWANZA, baadhi ya meseji hizo zilionesha kutumwa kwa kupitia mnara wa simu uliopo maeneo ya bunge. PILI, kuna meseji iliwezeshwa kusafiri kwa nguvu ya mnara uliopo eneo linaloitwa Uwanja wa Ndege ambapo inadaiwa Mheshimiwa Vicky ndiko anakoishi.
Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mkoa wa Geita, Vicky Paschal Kamata
SERIAL NUMBER
Pia yapo madai kwamba, polisi hao walikwenda kitaalam zaidi na kubaini kwa kutumika namba zilizomo ndani ya simu eneo la kuwekea betri (serial number) ambazo zilionesha kuwa, laini iliyokuwa ikituma meseji za kuudhi kwa waheshimiwa hao pia imekuwa ikutumia na laini ambayo polisi walimjua mhusika, ingawa wasemaji wake wamesita kuthibitisha.
POLISI NYUMBANI KWA VICKY
Habari zaidi zinadai kuwa, Jumanne iliyopita, polisi mkoani Dodoma walifika nyumbani kwa mheshimiwa Vicky na kufanya uchunguzi kama wanaweza kupata simu yenye laini iliyoripotiwa na akina Mayenga (pichani) kwamba imekuwa ikiwakashifu kwa meseji lakini hawakufanikiwa kukuta chochote.
Alipotafutwa Vicky ili kujua undani wa meseji hiyo juzi, simu yake haikuwa hewani. Kwa upande wake Lucy ambaye alidai kutumiwa meseji za matusi katika gazeti moja (siyo la Global), naye simu yake iliita bila majibu, huku Cathy akishindwa kupatikana na kulifanya gazeti hili kuzidi kuchimba kwa kina sakata hili ili kupata mbivu na mbichi na kuzianika bila kusitasita.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top