Habari Kali
Loading...

ZOEZI LA UOPOAJI WA MIILI KATIKA AJALI YA MITUMBWI ZIWA TANGANYIKA LASITISHWA!!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Mkuu wa Mkoa wa Kigoma,Kanali mstaafu Issa Machibya akiongea na waandishi wa habari(ambao hawapo pichani)ofisini kwake juu ya kusitisha kwa zoezi la uopoaji wa miili ya ajali ya mitumbwi iliyotokea hivi karibuni katika kijiji cha kalalangabo ziwa Tanganyika.
SEREKALI ya Mkoa wa Kigoma imesitisha zoezi la uopoaji wa miili ya ajali ya mitumbwi miwili ya maharusi iliyotokea tokea hivi karibuni katika Ziwa Tanganyika kwenye kijiji cha Kalalangabo kilichopo mwambao
mwa ziwa Tanganyika . Akiongea na waandishi wa habari ofisini kwake Mkuu wa Mkoa wa Kigoma kanali mstaafu Issa Machibya alisema kuwa vikosi mbalimbali vya ukoaji kwa kushirikiana jeshi la wananchi (JWTZ)wakishirikiana na wananchi wamefanya kazi kubwa sana ya kuopoa miili kwa kipindi cha siku tatu mfululizo. Alisema jumla ya miili kumi ili patikana katika zoezi hilo la ukoaji lakini hivi sasa wameachia uongozi wa kijiji cha serekali ya kalalangabo kuendelea kutoa taarifa kama kuna miili mingine itakayoibuka. ''Ile mitumbwi ilikuwa imejaza sana watu ambayo idadi yake kamili mpaka sasa bado haijajulikana kwani walivyokuwa wanaenda kupanda walikuwa na haice tatu,pikipiki 10 na vyote vilikuwa ndugu jamaa na wapambe wa maharusi. ili kuwa mitumbwi miwili ya kienyeji tena ile inayotumika kuvulia samaki na dagaa,sasa tunahofia kwamba miili mingine zaidi itakuwa bado ipo majini kwani jana waokoaji walifanikiwa kupata baadhi ya vitu majini kama vile simu,nguo na saa''alisema Machibya. Mkuu wa Mkoa aliwataka wananchi kuacha tabia ya kutumia vyombo visivyo rasmi katika usafiri na ambavyo havijasajiriwa na mamlaka ya usafiri wa nchi kavu na majini(SUMATRA)pia aliwataka wavuvi na wale wenye vyombo majini waache tabia ya kusafirisha abiria kwa kutumia mitumbwi ya kuvulia dagaa ili kuepuka ajali. Pia aliwataka wamiliki wa vyombo vya majini wote wasajili vyombo vyao na wahakikishe vinaanzia safari katika vituo vinavyotambulika. ''Kuna siku mimi na kamati yangu ya ulinzi na usalama tunaingia majini wenyewe kufanya ziara ya ghafla siku nzima na kuwakamata wale wote wanaokiuka sheria za kusafirisha abiria ziwani''alisema Machibya Machibya alisema kuwa mmiliki wa mitumbwi hiyo bado hajafahamika vyombo vya usalama bado vinaendelea na juhudi kumtafuta mmiliki wa mitumbwi hiyo ili aweze kufikishwa katika sheria

Hii ndo mitumbwi iliyopigwa wimbi na kuzama na kusababisha maafa,ilikuwa imebeba maharusi na ndugu na jamaa pamoja na wapambe, watu wanaokadiliwa zaidi ya 80 wanakadiriwa walikuwa katika mitumbwi hii wakisindikiza harusi

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top