Habari Kali
Loading...

MOSHI: Wafunga Njiapanda ya Himo kwa saa tatu!! SOMA ZAIDI HAPA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Polisi mkoani Kilimanjaro jana walilazimika kutumia mabomu ya machozi kuwatawanya mamia ya wananchi wakiwamo wanafunzi waliokuwa wamefunga Barabara ya Moshi - Dar kwa mawe.
Wananchi hao walifunga barabara hiyo eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi Vijijini jirani na mizani mipya, baada ya kutokea kwa ajali iliyoua mwanafunzi wa Shule ya Msingi Njiapanda.
Tukio hilo lilisababisha magari yaliyokuwa yakitumia barabara hiyo yakiwamo mabasi na malori kukwama kwa zaidi ya saa tatu kuanzia saa mbili asubuhi hadi saa 4:30.
Wananchi hao walikusanya mawe makubwa na kuyapanga barabarani na kuweka ubao uliosomeka: “Tumechoka na ajali” huku wanafunzi wakiimba “Tunamtaka Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro”.
Katika vurumai hizo, Kaimu Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Dk Ibrahim Msengi na Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa, Koka Moita waliathiriwa kwa moshi wa mabomu ya machozi.
Viongozi hao na wengine akiwamo Meneja wa Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads), Marwa Rubilya walikwenda katika eneo hilo kuwashawishi wananchi hao kufungua barabara bila mafanikio.
Baada ya kushindwa kuwashawishi, polisi waliamua kuyaondoa kwa nguvu mawe hayo ndipo wananchi hao walipoanza kurusha mawe na kumjeruhi askari mmoja kwenye paji la uso na kuvuja damu.
Kuona hivyo, polisi walirusha mabomu hayo na moshi wake kusambaa hadi kwa viongozi hao. Katika tukio hilo, Dk Msengi ilibidi kupewa msaada wa maji ya kunawa uso.
Kamanda Moika alisema kiini cha vurugu hizo ni ajali ya basi dogo la abiria aina ya Toyota Hiace lililomgonga mwanafunzi wa shule hiyo Jumamosi iliyopita.
“Baada ya kugongwa, mtoto huyo aliyeumia vibaya alipelekwa katika Hospitali ya Faraja Himo na baadaye akahamishiwa Hospitali ya Rufaa ya KCMC kwa matibabu zaidi, lakini akafariki dunia usiku wa kuamkia leo (jana),” alisema.
Alisema kifo cha mwanafunzi huyo kiliamsha hasira za wanafunzi na wananchi wa eneo hilo ambao walifunga barabara hiyo wakitaka kujengwa matuta.
“Tulipofika pale na kuwasihi wafungue barabara waligoma na kuanza kuturushia mawe ikabidi tutumie mabomu ya machozi kuwatawanya na hakukuwa na madhara kwa binadamu,” alisema.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top