Ripoti kutoka Vatican inasema ’Kanisa inabidi iwaruhusu na kuwakaribisha wapenzi ambao wapo kwenye mahusiano ya jinsia moja’.
Akizungumza
na waandishi wa habari, katika mkutano uliofanyika Oct 13 ambao
ulifanyika Jumatatu ili kutoa ripoti hiyo, Kadinali ‘Luis Antonio Tagle
wa Philippines alisema ‘Wakatoliki wanafuatilia sana maswala ya
umaskini, vita na uhamiaji na kuacha swala la watu ambao wapo kwenye
mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja’.
Lugha
hii mpya ya kuhusiana na mapenzi kati ya watu wa jinsia moja
inalinganishwa na ‘utetemeko wa Mapasta’, alisema mmoja kati ya
waandishi wa habari wa Vatican. ‘Swala la mahusiano ya wapenzi wa
jinisia moja linaenda mbali sana mpaka kanisa nalo linajiuliza kama nalo
likubali swala hilo bila kuharibu kanuni, sheria na imani za
Kikatoliki’, alisema John Thavis.
Mchungaji
James Martin ambae pia ni mwandishi wa neno la Mungu aliiita ripoti hii
ya kuhusiana na mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja kuwa ni tendo la
“kimapinduzi’, aliendelea kusema kuwa mabadiliko yanayofanywa na kanisa
la Kitatoliki kuhusu mahusiano ya wapenzi wa jinsia moja ni mazuri.
Aliongezea
na kusema, ‘watu ambao wapo kwenye mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja
nao wana uwezo mkubwa wa kuchangia kwenye jamii yetu ya Kikristo’.
Wakatoliki
wanaviita vitendo vya mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja ‘vitendo
visivyo na utaratibu’. Papa Francis, wakati anaongelea swala la kanisa
la Kikatoliki mwaka 2013 alisema ‘mimi ni nani mpaka niwahukumu watu
ambao wapo kwenye mahusiano ya kimapenzi ya jinsia moja?’.
Kwa
ripoti iliyotolewa jana Oct 13 muhtasari wa wiki nzima kuhusiana
mkutano uliofanywa na karibu Askofu 200, Makardianali na Makuhani pamoja
na Papa Francis unaendelea, lakini mpaka sasa hamna mabadiliko yoyote
ambayo yamefanywa.Majadiliano yanaendelea wiki hii na ripoti ya mwisho
itatolewa mwisho wa wiki hii.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >