Binti aliyetajwa kwa jina la Biena mkazi wa Kawe jijini Dar, hivi karibuni alipata aibu baada ya kufumaniwa ndani ya gesti (ipo maeneo hayohayo) akiwa na mume wa dada yake.
Chanzo makini kilichokuwa eneo la tukio kilieleza kuwa, Biena na mume
wa dada yake aitwaye Abasi wamekuwa na uhusiano kwa muda mrefu kabla ya
juzikati kunaswa laivu wakiwa gesti.
“Beina anaishi na dada yake aitwaye mama Saida, amekuwa akimzunguka kwa kutembea na shemeji yake hadi sisi majirani tukakereka.
“Beina anaishi na dada yake aitwaye mama Saida, amekuwa akimzunguka kwa kutembea na shemeji yake hadi sisi majirani tukakereka.
“Sasa siku ya tukio mama Saida ambaye ni mjamzito alikuwa kalala,
tukamuona Abasi na Biena wakielekea gesti. Uzalendo ukatushinda,
tukaona tumsaidie dada wa watu kuwafumania.
“Tukaenda hadi kwenye ile
gesti, tukawafumania wakiwa ndani, Abasi akaingia mitini mpaka leo
hajulikani aliko, Beina akatoka na kukimbilia nyumbani kwa dada yake,”
alisema mtoa habari huyo.
Mama mwenye nyumba aliyejitambulisha kwa jina la mama Farida alisema
ni kweli binti huyo alikuwa akitembea na shemeji yake na majirani
walichoshwa na hilo ndiyo wakaamua kumtolea uvivu.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >