Ndege
ya shirika la Germanwings, Airbus yenye namba A320 na namba ya safari
4U 9525 iliyokuwa ikitoka Barcelona nchini Hispania kwenda Duesseldorf
nchini Ujerumani ilianguka kutoka angani mpaka chini ya aridhi kwa muda
wa dakika 8 umbali wa futi 38,000 katika milima ya Alps iliyopo nchini
Ufaransa.
Mkurugenzi
wa shirika la ndege la Germanwings, Thomas Winkelmann amesema wasafiri
72 kati ya 144 walikuwa raia wa Ujerumani. Wahanga wengine walikuwa ni
wanafunzi 16. Wakati huo nchi ya Hispania ikisema watu 51 walikuwa ni
raia wa nchini humo. Katibu wa UK Foreign, Philip Hammond amehakikisha
kuwa watu 3 walikuwa ni Waingereza.
wengine
walikuwa ni kutoka nchi za Australia, Argentina, Iran, Venezuela,
Marekani, Uholanzi, Colombia, Mexico, Japan, Denmark na Israel.
Uchunguzi
wa awali wa sauti zilizokuwa ndani ya kifaa cha kurekodia sauti ya
ndege iliyoanguka Ufaransa unaonesha kuwa moja wa marubani wa ndege hiyo
alikuwa amefungiwa nje ya eneo la marubani wakati ndege hiyo
ilipoanguka.
Aidha
haijabainika kikamilifu alikuwa ameondoka kufanya nini lakini sauti
zinasikika akibisha kwa nguvu akitaka ufunguliwe mlango.
Duru za kuaminika zinanukuliwa na jarida la New York Times.
Mkuu wa shirika la ndege la Lufthansa amesema kwa kinywa wazi kuwa kuanguka kwa ndege hiyo kuna hila hila.
''Hakuna maelezo kamili ya kiini cha ajali hiyo ''
''Ndege hiyo ilikuwa imefanyiwa ukarabati majuzi tu wala haikuwa na hitilafu yeyote''.
Wakaguzi
wa kifaransa wamesema wamefanikiwa kukipata kifaa cha kurekodia sauti
na maneno kutoka katika kisanduku cheusi cha ndege ya shirika la ndege
la ujerumani iliyopata ajali katika milima ya Alps.
Wakaguzi
hao mpaka sasa wanaendelea kukitafuta kisanduku kingine ,ambacho
hurekodi taarifa za ndege hiyo na chanzo cha ajali hiyo .
Wanafunzi katika shule ya Haltern-am-See nchini Ujerumani wakilia baada ya wenzao kupata ajali kwenye ndege ya Germanwing.
Timu
hiyo ya uokozi iliyoko katika eneo la ajali lililoko upande wa Kusini
mwa Ufaransa wamefanikiwa kukipata kifaa hicho kinachohifadhiwa katika
chumba cha rubani kikiwa kimeharibika.
David
Gleave ni mkaguzi wa zamani wa ajali za ndege ,anasema kwamba visanduku
hivyo vinapaswa kuwa na picha dhahiri za nini kilichotokea.
Pengine
tunaweza kupata mawasiliano ya timu ya wafanya kazi wa ndege
hiyo,ambayo yatatuelekeza katika kilichojiri na chanzo cha tatizo ambalo
walijaribu kulitatua pamoja kama timu, na hatua walizochukua kunusuru
janga hilo.
Je rubani alichukua juhudi za makusudi kuwanusuru abiria na wafanyakazi waliokuwemo,na rubani mwingine aliendelea kurusha ndege?
Ama kutatua tatizo?na namna walivyohakiki na nini walichokiacha na mambo kama hayo.
Hata hivyo tunahitaji zaidi taarifa za kinasa taarifa ili tuweze kupata mustakabali kamili wa kile kilichotokea.
Akizungumza
katika mkutano na waandishi habari Carsten Spohr ambaye ni mkurugenzi
mtendaji wa shirika la ndege la Germanwings shirika dada la kampuni ya
usafirishaji ya Lufthansa ameielezea ajali hiyo kuwa isiyoeleweka.
'Niamini baada ya miaka ishirini ijayo katika tasnia hii nami niliwahi
kuwa rubani wa shirika la ndege la Lufthansa, bado hainiingii akilini
juu ya kile kilichotokea jana'.
Shirika
la ndege la Lufthansa halijawahi kupoteza ndege yake katika historia
yake ya usafirishaji katika mazingira kama hayo, bado hatuelewi nini
kiliisibu ndege iliyokuwa katika hali nzuri kiufundi na marubani wawili
waliobobea katika kazi yao na waliopitia mafunzo ya hali ya juu ya
safari za anga wa shirika la Lufthansa, kuhusika katika ajali mbaya
kiasi kile.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >