Msanii wa filamu, Aunt Ezekiel akiwa amevaa vazi la baibui ambalo linamuonesha macho tu, maarufu kama vazi la kininja.
Paparazi wetu akiwa kwenye majukumu yake, ghafla alimuona staa huyo
ambaye ni wa kujifungua leo au kesho akiwa kwenye vazi hilo katika
Hospitali ya Penisulla iliyopo Msasani jijini Dar, hali iliyosababisha
watu kutomtambua.Hata hivyo, wakati akitoka kwa daktari, mwandishi wetu aligundua kuwa aliyekuwa akimuona mbele ya macho yake ni Aunt na ndipo alipomfuata na kumuuliza kulikoni.“Nimechoka kuangaliwaangaliwa, yaani mimba yangu imekuwa kama kitu cha ajabu, kila ninapopita watu macho kodooo, ndiyo maana nimeamua niwe navaa hivi ninapokuwa kwenye maeneo yenye watu wengi,” alisema Aunt.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >