Mfanyakazi
wa ndani, Joseph Matonya (26) amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela na
viboko 12 baada ya kupatikana na hatia ya kubaka mwanafunzi wa kidato
cha pili katika shule ya sekondari Mwanagati mwenye umri wa miaka 14.
Akisoma hukumu hiyo katika Mahakama ya Wilaya ya Ilala, Hakimu John Msafiri alisema kuwa mshitakiwa huyo atatumikia adhabu ya viboko ambavyo atachapwa sita akiingia na sita akitoka.
Pia alisema Matonya atatakiwa kulipa fidia ya Sh milioni moja baada ya kumaliza kifungo hicho.
Hakimu Msafiri alisema mshtakiwa alitiwa hatiani baada ya upande wa mashitaka kuthibitisha mashitaka yake bila ya kuacha shaka kwa kuwa na mashahidi wanne na PF3 iliyothibitisha kubakwa kwa mwanafunzi huyo.
Hata hivyo, Wakili wa Serikali, Gloria Mwenda alidai kwamba mshtakiwa apewe adhabu kali iwe fundisho kwa wengine.
Kabla ya hukumu, mshitakiwa huyo alidai kuwa yeye ni mgeni wa Mahakama na kwamba familia yake inamtegemea na kudai kuwa hakumbaka mtoto huyo.
Pia alidai kuwa adhabu hiyo imemuathiri kisaikolojia na kimwili na kwamba hatasahau maishani mwake.
Ilidaiwa kati ya Novemba na Desemba, 2013, maeneo ya Kitunda Mwanagati, wilayani Ilala, Matonya alimbaka mtoto wa miaka 14 ambaye ni mwanafunzi wa kidato cha pili katika shule ya sekondari Mwanagati.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >