JESHI la Polisi mkoani Tanga, limedai kufanikiwa kumkamata mmoja wa watuhumiwa aliyehusika kwenye tukio lenye sura ya kigaidi katika mapango ya Amboni.
Zaidi
Jeshi hilo limemuhusisha mtuhumiwa huyo na tukio la uporaji silaha kwa
askari waliokuwa doria eneo la barabara ya nne na tano Mtaa wa Makoko
jijini Tanga, Januari 26 mwaka huu.
Takribani
mwezi mmoja uliopita, tukio hilo la Amboni ambalo msingi wa kujulikana
kwake ulitokana na kuporwa kwa silaha hizo, lilisababisha mapambano
makali ya kurushiana risasi kati ya polisi wakishirikiana na askari wa
Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) dhidi ya watu hao wanaosadikiwa
kuwa majambazi au magaidi waliokuwa wamejificha katika mapango ya
Amboni.
Akizungumza
na waandishi wa habari jana, Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga,
Juma Ndaki, alisema mtuhumiwa huyo alikamatwa Machi 18 mwaka huu saa
mbili usiku katika eneo la Kabuku huku akiwa na bunduki yenye risasi 29.
Ndaki alisema kukamatwa kwa mtuhumiwa huyo, kumekuja baada ya jeshi hilo kupata taarifa za siri kutoka kwa wasamaria wema.
Alisema
baada ya kumkamata mtuhumiwa huyo walimuhoji ambapo mbali na kukiri
kuhusika katika kupora silaha, pia alikiri kuwa ni miongoni mwa
wanaounda kundi hilo lililokuwa limejificha katika mapango hayo yaliyoko
katika Kijiji cha Mleni.
Kwa
mujibu wa polisi, mtuhumiwa huyo alikiri kuwapo ndani ya mapango hayo
wakati wa mapambano baina yao na Jeshi la Polisi na kwamba alikuwa ni
mtu wa mwisho kutoka katika mapango hayo akiwa na bunduki moja iliyokuwa
imefichwa.
Kaimu
Kamanda huyo alisema Machi 19 mwaka huu baada ya mtuhumiwa huyo
kukamatwa, saa mbili asubuhi aliwaongoza askari wa kikosi kazi Taifa
wakiwa na Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoa wa Tanga (RCO)
kwenda kuwaonyesha silaha hiyo.
Alisema
baada ya kufika katika mapango hayo walionyeshwa bunduki moja aina ya
SMG yenye namba 14303545 ikiwa na risasi 29 ambayo ni miongoni mwa
silaha zilizoporwa askari Januari 26 mwaka huu.
Alisema
mtuhumiwa huyo pia aliwaonyesha panga moja, begi moja la kahawia likiwa
na nguo mbalimbali na mabomu matatu ya kutengeneza kienyeji vifaa
ambavyo walikuwa wakivitumia wakati wa mapambano kati yao na polisi
waliokuwa wakisaidiwa na JWTZ.
Aliongeza
kuwa kupatikana kwa silaha hiyo kunafanya silaha zote mbili walizoporwa
askari wa Jeshi hilo ambao walikuwa doria kupatikana.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >