
Siku ya leo moja ya story kubwa ambayo
ilikuwa ikisambaa kwa kasi mitandaoni na watu ambao hawakuingia
mitandaoni walikutana na ujumbe ambao watu walikuwa wakisambaziana watu
kwamba kuna msiba wa msanii wa kundi la Orijino Komedi, Clouds FM
ikawatafuta Joti pamoja na Seki abao walikanusha juu ya tetesi kwamba
msanii Vengu amefariki.
Ni muda mrefu msanii huyo hajaonekana, timu ya millardayo.com na #AMPLIFAYA zilifanya jitihada na kumpata Andrew Shamba ambaye ni kaka wa Joseph Shamba aka Vengu, hapa akaanza kuzungumzia jinsi tetesi hizo walivyozipokea; “Familia
inatusikitsha kwa maana kwamba haina ukweli wowote hii ishu ni zaidi ya
mara tano wanazungumza hao wat.. na hao watu hawazungumzi kwa mapenzi
mazuri Vengu sasa hivi ana hali nzuri vitu vidogo vidogo anajisaidia yeye mwenyewe, hizi habaru za uvumi zinakatisha tamaa..“
“Vengu
sasa hivi ana mwaka mmoja na nusu yuko nyumbani kama anaenda Hospitali
ni binadamu.. labda Malaria, au labda kichwa kitamuuma ndio tutasema
twende Hospitali lakini sio mgonjwa na Komedi wanajua kwamba amepumzika
na wao wamekubali kwamba apumzike ili baadae arudi..“
“Madaktari
wake ni wakali mno kuna daktari wake hataki suala la kufanya mahojiano
au kumkumbusha kumbusha vitu vya nyuma inakuwa kama unamtia huzuni..
kumpa simu asikilize ni vitu ambavyo vimekatazwa“
Ni muda mrefu msanii huyo hajaonekana akiigiza pamoja na kundi lake la Orijino Komedi; “Vengu ameanza kuumwa 2011 mwezi wa tisa“–Andrew Shamba.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >