Meneja
wa TMK Wanaume Family, Yamoto Band na Diamond, Said Fella akiwaeleza
kinachoendelea baadhi ya mastaa waliofika msibani hapo.
Mdogo
wa marehemu Abdul Bonge, Bab Tale akihojiwa na Mwandishi Mwandamizi na
Mpigapicha Mkuu wa Magazeti ya Global Publishers, Richard Bukos.
Mdogo wa marehemu, Habib Uledi (kushoto) akimueleza jambo msanii wa filamu za Kibongo, William Mtitu.
Mchekeshaji Kitale a.k.a ‘Mkude Simba’ akiingia msibani huku akifuatiwa na mchekeshaji mwenzake, Stan Bakora.
KIFO
cha mdau wa muziki nchini ambaye ni mwanzilishi na meneja wa kundi la
Tip Top Connection, Abdul Shaban Taletale, kilichotokea Magomeni-Kagera
jijini Dar es Salaam, jana jioni kimeendelea kuzua utata kufuatia
mtuhumiwa wa mauaji mtu aliyetajwa kwa jina la Nassoro Idd kuingia
mitini.
Akizungumza
na mandao huu, Meneja wa Kundi la Tip Top Connection na mdogo wa
marehemu, Hamisi Shaban ‘Bab Tale’, alisema siku ya tukio Abdul Bonge
akiwa maskani ya Tip Top Connection iliyopo Magomeni-Kagera alifuatwa na
kijana mmoja na kuambiwa rafiki yake aitwaye Nassoro Idd alikuwa
akipigana na mkewe hivyo aliagizwa na mama yake Nassoro akamwite ili
awasuluhishe.
Muda mfupi baada ya kwenda kwenye ugomvi huo zilirudi taarifa kuwa Abdul Bonge ameanguka na kupoteza fahamu.
Bab Tale alisema
walimpeleka Hospitali ya Saint Monica iliyopo Manzese-Darajani lakini
waliambiwa tayari ndugu yao alikuwa amepoteza maisha. Kufuatia tukio
hilo Nassoro ametorokea kusikojulikana lakini mkewe anashikiliwa na
jeshi la polisi.
Mwili
wa marehemu unatarajiwa kusafirishwa muda wowote kwenda Kijiji cha
Mkuyuni kilichopo Matombo mkoani Morogoro baada ya polisi kukamilisha
uchunguzi wa tukio hilo na kuwakabidhi mwili huo.
(PICHA: RICHARD BUKOS NA ISSA MNALLY / GPL)
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >