Habari Kali
Loading...

INASIKITISHA SANA..!! ALBINO WAANGUA KILIO KABURINI KWA NYERERE

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Gabriel Ng’osha
WATU wenye ulemavu wa ngozi, ambao ni wanachama wa Chama cha Maalbino Mkoa wa Mwanza, wakiwa na wanaharakati wengine, mwishoni mwa wiki iliyopita walitembea kwa miguu kutoka jijini humo hadi Butiama, liliko kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere na kuangua kilio cha nguvu, wakilalamika kutotendewa haki ndani ya nchi aliyoiacha salama.

Walemavu hao wa ngozi wakilia mbele ya kaburi la Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere.
Akizungumza  na gazeti hili kiongozi wa wanaharakati hao, Nkwenge Mutash alisema safari yao ilianza Machi 13- 18, 2015 na walitumia siku tano ili kufikisha ujumbe wao wa kupinga mauaji ya Albino na alitoa shukrani kwa wanavijiji waliowaunga mkono wakiwa njiani kwa kuwapa maji, chakula na mahitaji mengine muhimu.
Wakiwa njiani, wanaharakati ambao wengine walikuwa ni pamoja na Khalid Seremani, Michael  Athanas na Erick Mutta, walitembelea kituo cha kulelea watoto wenye ulemavu wa ngozi kinachomlea Zakaria Mayala ambaye aliondolewa nyumbani kwao Simiyu ili kumuepusha na hatari ya kuuawa.
Mwenyekiti wa chama hicho, Afred Kapole alisema waliamua kwenda Butiama kwa hayati Baba wa Taifa ili kufikisha kilio chao kwa kulia kaburini mwa muasisi wa taifa ili awasaidie kwani enzi za uhai wake alipenda haki, usawa, upendo na amani, kwa vile hivi sasa wanaona hawatendewi haki katika nchi iliyoachwa ikiwa na misingi ya upendo na amani,” alisema Kapole.
...Wakiwa kwenye picha ya pamoja.
Chifu wa kabila la Wazanaki, Japhet Wanzagi Nyerere aliyewapokea huko Butiama, alisema wageni hao walikuja na kwenda kulia kaburini kwa Nyerere, kiasi kwamba yeye kama binadamu amepata simanzi kubwa hasa walipolalamikia kuhusu kunyanyaswa katika nchi yao na hivyo akatoa wito kwa serikali kufanya kitu ili kurudisha imani ya watu hao mioyoni mwao.
Aidha chama hicho kimeomba kama amani kwao imeshindikana nchini Tanzania, basi wanaomba wahamishiwe katika nchi nyingine.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top