KAKA
wa Askofu wa kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima aitwaye
Methusela Gwajima amemtaka mdogo wake kwenda kumuomba radhi Askofu Mkuu
wa Jimbo Katoliki Dar es Salaam Mhadhama Polycarp Kadinali Pengo kwa
kutoa lugha ya kumkashifu.
Akizungumza
na wanahabari leo Jijini Dar es Salaam, Methusela alisema ameamua
kutokufumbia macho kitendo cha ndugu yake kumkashifu Pengo na kwamba
anapaswa kujitathimini alipopotoka kwa kumtukana kiongozi mkubwa wa
kiroho kwani ni sawa na kuidhalilisha familia nzima ya Ukoo wa Gwajima.
Alisema
maneno yake ya kashfa ni dhahili ya kuwa hata ukoo mzima umedhalilishwa
hivyo familia ya Methusela Gwajima imemtaka kuomba radhi mara moja.
Hata
hivyo alisema kuwa yeye ni kada wa CCM hivyo amepata usumbufu mkubwa
tokea sakata hilo liibuke maana ndugu na marafiki walioko nje ya nchi
wamekuwa wakimuuliza kuhusiana na suala hilo hali inayompa wakati mgumu
kuwapatia majibu.
Alisema
kashfa hizo hazina tija kwa taifa na haileti uhusiano mwema baina ya
madhehebu ya dini, bali yanachochea chuki, uhasama, utengano na hasira
kati ya wakristo kwa wakristo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >