Mbunge katika bunge la Afrika Mashariki,Shyrose Bhanji amefunguka ugonjwa unaomsumbua kwa muda mrefu uliomfanya alazwe katika hospitali ya Agha Khan,jijini Dar.
Akizungumza
na Clouds Fm, Shyrose alisema kuwa amekuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa
Pumu(asthma) kwa muda mrefu tangu akiwa mdogo lakini safari hii ugonjwa
ulizidi sana hali iliomfanya kulazwa hospitali kwa siku kadhaa.
"Huu
ugonjwa huwa unanisumbua kwa muda mrefu lakini hadi kufikia hatua ya
kulazwa ni safari hii hali ilikuwa mbaya sana lakini namshukuru Mungu
nimepewa matibabu naendelea vizuri,’’alisema Shyrose.
Aidha
aliongeza kuwa mara ya mwisho kuugua hadi kufikia hatua ya kulazwa
ilikuwa miaka mingi sana wakati akisoma nchini Uingereza,pia hali ya
hewa ya baridi huwa ni tatizo kwake.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >