MWANADADA anayefanya
vizuri katika muziki na filamu nchini, Zuwena Mohamed maarufu kama
Shilole, ameendeleza tabia yake ya kumpa vipigo vya mara kwa mara mpenzi
wake, Naftar Mlawa ‘Nuh Mziwanda’ ambaye pia ni msanii.
Mwanadada
anayefanya vizuri katika muziki na filamu nchini, Zuwena Mohamed
maarufu kama Shilole akiwa na mpenzi wake Nuhu Mziwanda.
Habari kutoka vyanzo vya kuaminika vinasema Shilole alimdunda kwa
mara nyingine Nuh wiki iliyopita, baada ya kutokea kutoelewana baina yao
kwa kile kinachodaiwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
“Ninampenda sana mume wangu na ninamheshimu, hili suala
linapozungumzwa au kuulizwa linaniumiza sana, haya ni mambo ya muda
mrefu na yameshamalizika,” alisema msanii huyo nyota wa kibao cha
Malele.
Kwa upande wake Nuh alipotafutwa, simu yake haikupatikana hewani na
hata alipotumiwa ujumbe mfupi wa maneno na kuulizwa kuhusu jambo hilo
pia hakujibu.Hii siyo mara ya kwanza kwa wapenzi hao kukwaruzana, kwani
imeshawahi kutokea siku za nyuma hadi kufikia wakati wakatengana.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >