Matukio
ya ukatili dhidi ya walemavu wa ngozi, vikongwe na watu wa makundi
mengine ya kijamii nchini, yametajwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na
hofu na kutojiamini kwa baadhi ya watu, hivyo kujikuta wakitumia nguvu
za ziada kutaka kufanikisha mambo yao, badala ya kumtegemea Mungu.
Hayo
yamebainishwa kwenye Ibada ya Sikukuu ya Pasaka katika Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front na Mkuu
wa kanisa hilo, Askofu Dk Alex Malasusa.
Alisema
hofu na kukosa uhakika ni chanzo kikubwa cha dhambi jambo ambalo
linawafanya watu kuingia katika matendo ya ushirikina na mauaji ya
binadamu wenzao.
“Watu
wengi wamekuwa wakishiriki ushirikina na si kwamba wanapenda
ushirikina, hawapendi, lakini wamejawa na hofu na hawana uhakika na ndio
chanzo cha dhambi. Kumekuwapo na matukio mengi ya ushirikina ambayo si
kawaida kwa binadamu aliyeumbwa na akili akayatenda."
Malasusa aliongeza: “Haijalishi
umesoma kiasi gani, leo hii imethibitika wasomi wengi wameingia kwenye
ushirikina, haijalishi una hali gani ya kiuchumi, wafanyabiashara wengi
wamejiingiza kwenye ushirikina, haijalishi unapenda ibada kiasi gani,
imethibitika tunaoingia na kutoka ibadani bado tunashiriki ushirikina.
“Ndio
maana tunasikia matendo ya kusikitisha ya binadamu kwenda kuua binadamu
wenzao kama albino, vikongwe kutokana na kujawa na hofu, eti wanaamini
kwa kuua albino watapata fedha au mafanikio kwenye uchaguzi, huo ni uovu
na akili za kishetani. Yesu aliyefufuka ndio atakayekupa mafanikio.”
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >