Msanii
wa Bongo Fleva, Naseeb Abdul ‘Diamond’, amekabidhiwa hundi ya zaidi ya
milioni 14 kwa ajili ya kufidia ujenzi wa upande wa nyumba yake
uliodondoka.
Wakati
akikabidhiwa mfano wa hundi hiyo na Kampuni ya Bima ya UAP kwa
ushirikiano na Benki ya CRDB, Diamond alisema ukuta wa nyumba yake
ulianguka wakati akiwa anamuuguza mama yake aliyekuwa katika hali mbaya.
“Ilikuwa
ghafla ukuta wa nyumba yangu ya Tegeta ukaanguka wakati huo nilikuwa
natakiwa kulipia fedha kwa ajili ya kurekodi wimbo wangu mpya.
“Hivyo nisingekuwa nimejiunga na bima sijui sasa ningekuwa kwenye hali gani? Ni kipindi kigumu sana kwangu,’’ alieleza
Diamond huku akiwataka Watanzania wajiwekee bima kwa kuwa ina msaada
mkubwa unapopatwa na majanga mbalimbali ya vitu ulivyokatia bima hiyo.
Naye,
Meneja wa Maendeleo ya Biashara wa UAP, Raymond Komanga, aliwasisitizia
Watanzania waondoe fikra za kwamba bima inayokatwa ni ya gari pekee
bali wakate bima za aina mbalimbali.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >