Habari Kali
Loading...

BABA DIAMOND AMFAGILIA ZARI KWA KUBEBA UJAUZITO WA MWANAE!

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >

Kukubali! Baba mzazi wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Jumaa ‘Baba D’ amefunguka kuwa, kwenye listi ya wanawake wote waliowahi kuwa na mwanaye kimalovee, mwanadada Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ ndiye mkwe wa ukweli kwake kutokana na kuwa tayari kumletea mjukuu.
Mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na mpenzi wake Zarinah Hassan 'Zari'.
Akizungumza na Amani, juzikati jijini Dar, baba Diamond alisema kuwa miongoni mwa vitu ambavyo vilikuwa vikimkosesha amani ni maneno yaliyokuwa yakimsakama Diamond kuwa huenda hana uwezo wa kumpa mimba mwanamke, kiasi cha warembo wote aliowahi kuripotiwa kutoka nao kutoka patupu bila kushika ujauzito.
“Nawashangaa sana hao wanawake si huyo Wema (Sepetu) wala hao wenziye, maana Diamond alisema kampa mimba Penny (Penniel Mungilwa) zikatoka huku mwenyewe akikanusha hajawahi kushika mimba kwa kumchafua tu mwanangu aonekane siyo mwanaume rijali,” alisema mzazi huyo.
Baba mzazi wa mkali wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Jumaa ‘Baba D’.
Baba D alitiririka kwamba mastaa hao wa kike ambao Mbongo Fleva huyo aliwahi kutoka nao huenda wao ndiyo hawana kizazi hivyo wanamtupia lawama mtoto wake kwa kushindwa kuwazalisha.
Alisema kuwa kikubwa anachokiamini wote hawakuwa na upendo wa kweli kwa mwanaye, walitaka kuzitumia tu fedha zake na kumuacha solemba lakini sasa Zari ndiye mwenye penzi la dhati kwa mwanaye.
“Kiukweli Zari kanifurahisha. Ndiye mkwe wangu wa kweli na halali kabisa.
“Nampongeza sana Zari kwa kushika ujauzito wa mwanangu. Sasa Diamond atatembea kifua mbele kwa kujiamini,” alisema baba D.
Alisema kutokana na kile kilichokuwa kikiaminika kuwa hana maelewano mazuri na mkali huyo wa Bongo Fleva, kwa sasa wapo vizuri na hata akiwa na tatizo huwa anamwambia Diamond ambaye amekuwa akimpa msaada.
“Kwa sasa nina maelewano mazuri na Diamond, muda wowote nikiwa na tatizo huwa namjulisha ananisaidia, kitu ambacho kinamfanya amgharamie mama yake kuliko mimi ni kwa sababu aliishi naye kwa kipindi kirefu na kuhangaika naye tangu utotoni,” alisema.
Ukiacha Zari ambaye amekubali kubeba ujauzito wake, Diamond aliwahi kuwalalamikia baadhi ya wapenzi wake kuwa walikataa kumzalia mtoto akiwemo Wema, Penny na Jokate Mwegelo.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top