Mshtuko!
Weka pembeni mahaba niue waliyokuwa wakioneshana, staa wa sinema za
Kibongo, Shamsa Ford amefunguka rasmi kuhusu kuvunjika kwa ndoa yake ya
kimila aliyofunga na mwanaume wake wa siku nyingi, Dickson ‘Dick’
akikiri kuwa amepoteza muda mwingi kwa mtu ambaye hakuwa na mapenzi ya
dhati kwake.
Akizungumza
na Ijumaa Wikienda, Shamsa alitiririka kwamba mara nyingi alikuwa
akichezea kichapo tena akiwa na ujauzito wa miezi minne wa mtoto wao,
Terry lakini kipindi chote hicho alikuwa akivumilia ili kukwepa aibu na
kumlindia heshima.
Alipotafutwa Dick, simu yake iliita bila kupokelewa hivyo jitihada za kumpata zinaendelea.
Shamsa Ford akiwa na mumewe wake, Dickson Matoke.
“Dick
ameninyanyasa kwa muda mrefu lakini kuepuka aibu ya kuwa mastaa
hawatulii, nikawa navumilia kipigo kikali hivyo niliamua kuachana naye
tangu Oktoba, mwaka jana na sikutaka kusema ila sasa nimeweka wazi
kutokana na yeye kuanika mambo yetu kwenye mtandao wa kijamii,” alisema
Shamsa.Alipotafutwa Dick, simu yake iliita bila kupokelewa hivyo jitihada za kumpata zinaendelea.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >