Habari Kali
Loading...

Huu Ndio Ukweli Juu Ya PICHA ZA NDOA Za DIAMOND na ZARI...!! Diamond Afunguka

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akiwa na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ katika pozi.
Musa Mateja
Kutafuta kiki? Wikiendi iliyopita, gumzo kubwa katika mitandao ya kijamii lilikuwa ni kuhusu stori ya staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kufunga ndoa na mwandani wake, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’ lakini Ijumaa Wikienda limezungumza na mwanamuziki huyo na kupata ukweli wake.
Taarifa hizo ziliibuka katika mtandao wa Instagram mara baada ya Diamond kuweka picha iliyomuonesha akiwa na Zari ambaye alivaa shela huku Diamond akiwa na suti kuashiria kuwa wawili hao wamefunga ndoa kutokana na ujumbe uliosindikiza picha hiyo.
Diamond aliandika: “Wakati mwingine usiri una baraka zaidi...alhamdullah (sometimes privacy has more blessings...thank you so much God).”
Baada ya ujumbe huo ndipo mashabiki wao walipoanza kusambaziana ujumbe kuwa Diamond amemuoa Zari.
Baada ya kuenea kwa ubuyu huo, mwanahabari wetu alimvutia waya Diamond na kumtaka aeleze ukweli wa habari hiyo ambapo alifunguka.
Ijumaa Wikienda: Ebwana vipi hii ishu ya ndoa ni kweli umeoa?
Diamond: Suala la ndoa lipo tu kwani wewe hujui mtoto Zari ana familia yangu? Nikikamilisha mchakato naweka wazi kila kitu.
Ijumaa Wikienda: Kwa hiyo unataka kuwaambia Watanzania kwamba umeshamuoa Zari au bado?
Diamond: Taratibu za awali nyingi tumeshakamilisha lakini zaidi kuna kitu kikubwa natarajia kukifanya pale Mlimani City (Dar) na hiki kitathibitisha ukweli wa unachokiuliza.
Ijumaa Wikienda: Umesema nisubiri sawa, hiyo Mlimani City ni tarehe ngapi?
Diamond: Usijali ni Mei Mosi, mwaka huu.
Ijumaa Wikienda: Poa, kila la kheri tutajumuika pamoja siku hiyo.
Mara kadhaa Diamond amekuwa akionesha nia ya kumuoa Zari hivyo mashabiki wengi wanaamini kuwa safari hii yupo ‘siriaz’ zaidi.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top