Habari Kali
Loading...

DUNIANI KUNA MAMBO: MAMIA YA WATU WAUDHURIA HARUSI YA NYANI HUKO NCHINI INDIA

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Zaidi ya wakazi 200 katika kijiji kimoja kaskazini mwa India wamehudhuria sherehe ya harusi ya nyani wawili. 
Harusi hiyo iliandaliwa na mmiliki wa nyani hao, ambaye alisema nyani dume ni kama "mwanaye".
Sherehe hiyo ilifanyika siku ya Jumatatu katika wilaya ya Bettiah, katika jimbo la Bihar, huku "bi harusi" akiwa amevalia gauni maridadi. 
Nyani ni viumbe wanaopendwa na watu wa jamii ya wa-Hindu.
"Bwana harusi" ambaye anajulikana kama Ramu pamoja na mkewe mpya aitwaye Ramdulari walipitishwa katika mitaa ya kijiji wakiwa juu ya gari lililopambwa kwa maua na muziki ukichezwa, huku mamia ya wanakijiji wakijipanga kuwashangilia.
Mmiliki wa nyani hao Udesh Mahto ambaye ana watoto watatu wa kiume amesema nyani Ramu ni kama mtoto wake wa kwanza.
"Nilitaka yeye ndio aanze kuoa," ameiambia Idhaa ya BBC ya Kihindi.
Bwana Mahto alimnunua Ramu kutoka Nepal miaka saba iliyopita, na baadaye kumnunua Ramdulari katika soko la kijiji.
"Mwanzoni hawakuwa wakielewana sana, lakini baadaye wakaanza kupendana, kwa hivyo nikaamua kuwafungisha ndoa," amesema.
Padre wa Kihindu Sunil Shastri "alifungisha" ndoa hiyo.
"Mwanzoni nilikuwa na mashaka, kufungisha ndoa ya nyani, lakini nilibadili mawazo baada ya kuona Bwana Mahto hafanyi mzaha," amesema. "Tulipanga siku na saa ya sherehe hiyo."
Kadi za mwaliko zilichapishwa na bendi kukodishwa, huku wageni wakipatiwa makulaji.
Watu wengi kutoka vijiji vya jirani walihudhuria na wengine kupiga picha za kuziweka kwenye mitandao ya kijamii.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top