JESHI la Polisi Mkoani Kigoma limefanikiwa kuuwa majambazi watatu baada ya kurushiana risasi na kukamata silaha mbalimbali za kivita.
Akizungumzia
tukio hilo ofisini kwake Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Kigoma,Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Frednand Mtui alisema kuwa majira
ya saa nane usiku katika eneo la mto kahabwe mpakani mwa Wilaya ya
Kakonko na Kibondo, askari Polisi wakiwa doria walirushiana risasi na
majambazi ambao idadi yao haijajuikana na kufanikiwa kuwauwa majambazi
watatu.
Alisema
wamefanikiwa kukamata silaha moja aina ya AK.47 yenye namba 10363 ikiwa
na risasi 11 ndani ya magazine na risasi 22 za SMG ndani ya mfuko wa
rambo pamoja na mabomu 2 ya kutupa kwa mkono .
Kamanda
Mtui alisema kuwa aina ya mabomu waliyokutwa nayo majambazi hao ni
offensive handgrenade namba Y.3PM-2 na jingine ni aina ya deffensive
handgrenade ambalo namba zake hazisomeki.
''Leo
ilikuwa ni siku ya mnada hivyo inaonekana majambazi hao walijipanga
kwenda kupora mali na pesa katika mnada wa leo,tunawashukuru raia wema
kwa kutoa taarifa mapema na kufanikiwa kuwanasa majambazi hao na
kuwauwa''alisema Kamanda Mtui
Alisema
maiti za majambazi wote watatu ambao majina yao hayajafahamika ila wote
wana umri kati ya miaka 25-35 zimehifadhiwa katika Wilaya ya Kibondo na
upelelezi wa tukio hilo unaendelea.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >