Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.Jakaya Mrisho Kikwete
akimvalisha Cpl Laura Philip Mushi Nishani ya Ushupavu wakati wa
utoaji wa Nishani ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Muungano.
Koplo Laura Mushi wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ni miongoni mwa Watanzania 42 waliotunukiwa nishani na Rais Jakaya Kikwete, Ikulu juzi Dar es Salaam.
Laura alitunukiwa Nishani ya Ushupavu ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 51 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar.
Katika
hafla hiyo Rais Kikwete alitunuku Nishani ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya
Muungano Daraja la Pili, la Tatu na la Nne, Nishani ya Muungano Daraja
la Pili na Nishani ya Ushupavu.
Kabla
ya kupokea nishani hiyo, ilielezwa kwamba usiku wa Machi 14 mwaka huu,
Koplo Laura , akiwa kwenye kituo chake cha ulinzi, alivamiwa na kundi la
majambazi waliomkaba kwa kamba na kumburuza kwa lengo la kutaka kumuua
na kupora bunduki aliyokuwa nayo ikiwa na risasi 30.
Ilielezwa
kwamba wakati majambazi hao wakimburuza kutoka katika lindo lake, Koplo
Laura alijitahidi na kufanikiwa kudhibiti kamba hiyo isimnyime pumzi
kwa kuwa walikwisha mfunga shingoni, huku akipambana kuzuia
asinyang’anywe bunduki aliyokuwa nayo na kufanikiwa.
Alifanikiwa kuidhibiti kamba hiyo na kisha kuifikia chemba ya risasi ya bunduki na kuweza kufyatua risasi nne huku akiburuzwa.
Hali hiyo iliwafanya majambazi hao kumwachia na kukimbia, hivyo kuokoa maisha yake na silaha aliyokuwa nayo.
“Kitendo
hicho kimeonyesha ushupavu, uzalendo na heshima ya hali ya juu kwa
Jeshi la Wananchi wa Tanzania na wanawake wote nchini,” alisema
mshereheshaji wa shughuli hiyo.
Akizungumza baada kupokea tuzo hiyo, Koplo Laura alisema: “Sikutarajia
kupata nishani hii, imenitia moyo, nguvu na morali zaidi wa kufanya
kazi kuilinda nchi yangu, pia kuonyesha kwamba inawezekana kila palipo
na juhudi. Ninamshukuru Rais Jakaya Kikwete kwa kutambua mchango wangu.”
Katika
hafla hiyo, watu wengine wa kada mbalimbali wakiwamo wanasiasa,
watumishi wa umma pia wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama wastaafu na
majaji wastaafu walitunukiwa nishani.
Kupitia nishani hizo, Rais Kikwete pia amemkumbuka marehemu Brigedia Jenerali Moses Nnauye aliyekuwa Katibu wa Oganaizesheni wa CCM na mwasisi wa Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), aliyetunukiwa Nishani ya Kumbukumbu ya Muungano Daraja la Tatu.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >