Jeshi la polisi mkoani Morogoro limekamata watu 9 wakiwa na silaha za
kulipua na nguo za jeshi la wananchi wakiwa wamejifungia katika msikiti
wa Suni Kidatu wilayani Kilombero mkoani Morogoro.
Kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Leonard Paul amesema tukio la
kukamatwa kwa watu hao limekuja kufuatia jeshi la polisi kupata taarifa
za uhalifu ambapo jambazi mmoja aliruka katika bajaji na kisha kumjeruhi
askari shingoni ambapo wananchi wenye hasira kali walioshuhudia tukio
hilo walimkimbiza jambazi huyo akiwa na silaha na kisha kumchoma .
Kamanda Paul amesema kufuatia tukio hilo jeshi la polisi liliongeza
nguvu ya askari ambapo walifanya msako mkali na kufanikiwa kuwakamata
watuhumiwa wengine wakiwa katika msikiti wa Suni Kidatu na baada ya
kupekuliwa wamekutwa na vifaa vya milipuko nguo za kijeshi la wananchi
wanaendelea kuwashikilia watuhumiwa na kuna taarifa kuwa watuhumiwa hao
walijiandaa kufanya tukio la uhalifu .
Aidha kamanda paul amewashukuru wananchi wa ruhembe kidatu wilayani
kilomeroa mbao wametoa ushikiano kufanikisha kukamtw akwa watuhumiwa
hao.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >