Niliwahi kumuona msanii Kajala akitoa machozi kwenye Interview ya TV.. swali la kwanza kumuuliza ilikuwa ni lini mara yake ya mwisho amelia; “mi’
nalia kila siku.. sio kama napenda lakini ndio hivyo.. mtu akinikwaza
kidogo au nikiwa nimeumia siwezi kuongea kwa hiyo kimbilio langu ni
kilio..”
Wale wanaotembelea ukurasa wa Kajala wa Instagram watakuwa wameona, mara nyingi anapost picha za mtoto wake wa kike, Paula. Ana miaka 12 tu, unatamani kujua anamlinda vipi mtoto wake?; “Siruhusu hata mtu wangu wa karibu aniambie anamchukua Paula
kwenda kula nae Ice Cream mimi nitampeleka nahakikisha niko around..
kama anataka kwenda beach lazima niwepo around namuangalia.. dunia ya
sasa usimuamini mtu yoyote..“
Kumbe mpaka sasa hajamruhusu mtoto wake kuwa na simu; “Hana simu na hatokua na simu mpaka labda amalize form four..”
Kingine exclusive alichoshea na sisi ni movie yake mpya, kaa tayari kuikuta hiyo mtaani kwako mtu wangu, inaitwa PISHU, itatoka May 1 2015. Humo ndani kuna mastaa kama mchekeshaji Senga, Mzee Onyango na Hemedy.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >