Zimesikika nyingi toka Kenya kuhusu ishu ya mashambulizi ya kigaidi.. leo kwenye zilizoripotiwa sio hiyo tena, hii inahusu vifo vya watu wanne, mmoja wao ni Askofu.
Mashuhuda wamesema watu hao wamefariki
baada ya kula supu ya nyama ya ng’ombe ambayo wanahisi nyamba hiyo
ilikuwa na sumu, kati ya waliofariki yupo muuzaji pia wa supu hiyo.
Watu wengine sita ni majeruhi ambao bado wanaendelea kupatiwa matibabu Hospitali.
Maafisa Usalama wa Afya wamesema watu
hao walikula chakula mahali ambapo sio salama, wakafanya msako na
kumakamata watu ambao wanauza nyama bila kibali cha kufanya biashara
hiyo.
Isikilize taarifa kutoka kituo cha K24 Kenya hapa…
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >