WAKATI taarifa zikisambaa kwa kasi kwenye mitandao
ya jamii kuwa nyumba ya Askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat
Gwajima, imezingirwa na polisi, habari kamili ni kwamba zoezi la
kumkamata askofu huyo lilishindikana baada ya kugoma kufungua geti lake.
Polisi hao waliokuwa na silaha walifika nyumbani kwa askofu huyo
maeneo ya Salasala jijini Dar wakiwa kwenye magari zaidi ya manne ambapo
walipiga kambi katika eneo hilo kwa saa sita huku njia hiyo ikiwa
imefungwa kwa saa kadhaa kabla ya waandishi wa habari na baadhi ya
waumini wa askofu huyo kuruhusiwa kupita.
Hata hivyo baada ya polisi hao kuzungumza na mawakili wa Gwajima na
viongozi kadhaa wa kanisa hilo, waliamua kuondoka huku wakitoa amri
kiongozi huyo afikie kituo kikuu cha polisi kwa ajili ya mahojiano
zaidi ambapo alifika na baadaye kufikishwa katika Mahakama ya Kisutu
ambapo taarifa za kina kuhusu kilichojiri huko zikiwa bado
hazijapatikana.
Askari wakiwa nyumbani kwa Gwajima.
Makamanda wa polisi wakiwa tayari kwa lolote. Gari lililombeba Gwajima likitoka ndani ya nyumba yake kuelekea kituo kikuu cha polisi kwa ajili ya mahojiano.Mawakili wa Gwajima wakisalimiana na mmoja wa maofisa wa polisi mara baada ya kufika eneo la tukio.Waandishi wa habari wakiwa eneo la tukio.
Waumini wa Gwajima wakiwa wamezunguka nyumba wa askofu wao. Kundi la wafuasi wa Gwajima wakifika nyumbani kwake mara baada ya polisi kuondoka eneo la tukio. Baadhi ya watu waliokuwemo ndani ya nyumba ya Gwajima wakichungulia dirishani. Baadhi ya waumini wa Gwajima wakifuatilia kwa makini hali iliyokuwapo. Baadhi ya waumini wakiwa mbele ya nyumba ya Gwajima. Gari la polisi likiondoka eneo la tukio.Hapa wakishangilia ushindi baada ya polisi kuondoka eneo la tukio.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >