Habari Kali
Loading...

HAYA NDIO MADHARA YA KUANGALIA PICHA NA VIDEO ZA NGONO KWA WANAFUNZI..!!! SOMA HAPA USIJE UKAWA KILAZA DARASANI

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
http://bongoposts.com/wp-content/uploads/2014/10/kulea-watoto-wa-digitali-intaneti-1.jpg

WALIMU mkoani hapa wametakiwa kushirikiana na wazazi katika kuwafundisha wanafunzi matumizi mazuri ya mitandao hususan simu za mikononi katika mazingira yasiyoharibu maadili yao.

Akizungumza katika mahafali ya kuhitimu darasa la saba katika shule ya Msingi Airport hivi karibuni, Katibu wa Uchumi na Fedha wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani hapa, Abdulikadri Mushi, alisema kuwa kwa sasa Dunia iko katika kipindi cha utandawazi na watoto wadogo wako msitari wa mbele kuharibiwa na utandawazi huo, kwani hutaka na wao kwenda na wakati.

Alisema kuwa, sasa hivi watoto wadogo wanajua kutumia mitandao hasa simu za mikononi na kompyuta na wengi hutumia kwa matumizi mabaya, ambayo husababisha kujifunza na kuiga mambo mabaya.

“Utakuta watoto wanaangalia picha chafu kwenye simu zao, pia hata kwenye kompyuta, kwani picha hizo zinapatikana kwenye mtandao,” alisema Mushi.

Sambamba na hayo, Mushi aliahidi kujenga jengo la choo ili kupunguza kero ya wanafunzi ya kuhangaika baada ya kilichokuwepo awali shule hiyo kubomoka.

Naye Diwani wa Viti Maalumu Kata ya Katubuka, Tatu Rajabu  (CHADEMA), alisema jukumu la kuhakikisha mtoto anakuwa katika mazingira mazuri yenye maadili ni la mzazi pia walimu.

“Mzazi huachana na mtoto asubuhi na mtoto hushinda na walimu kwa muda mwingi, hivyo walimu wawe na mzigo katika kuwafundisha na kuwaonya watoto katika mambo ambayo hupelekea kuharibika kwa maadili,” alisema Rajabu.



Kwa upande wa Mwenyekiti wa Kamati hiyo, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Wanajeshi Wastaafu, Nicas Bukobero, alisema kuwa kazi ya walimu ni kuwafundisha na kuwalea wanafunzi katika maadili mema na sio kuwaacha waharibiwe na utandawazi.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top