Habari Kali
Loading...

KAJALA AIBIWA NGUO YA NDANI KIUCHAWI

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Imelda mtema MAUZAUZA! Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’ amepatwa na dhahama ya aina yake baada ya kuibiwa nguo yake ya ndani kimazingara kisha kuikuta nje ikiwa imeloa damu, Ijumaa lina mchapo kamili.
Kwa mujibu wa chanzo makini, mara nyingi Kajala ana kawaida ya kufua na kuzianika nguo hizo ndani lakini katika mazingira ya kutatanisha moja ilipotea na kila alipofanya jitihada za kuitafuta, hakuiona.

Staa wa sinema za Kibongo, Kajala Masanja ‘K’.
Chanzo hicho kilizidi kumwaga ubuyu kuwa, baada ya nguo hiyo kutooneka ghafla, Kajala alichanganyikiwa sababu nyumbani kwake hakuna hata panya ambaye anaweza kuibeba pengine na kuitupa sehemu nyingine.
Chanzo hicho ambacho kipo karibu sana na Kajala kilizidi kutiririka kuwa, baada ya kulitafuta ‘kufuri’ hilo kwa muda mrefu bila mafanikio, alikuja kulikuta kwenye ndoo tupu ya maji tena ikiwa imetobolewa huku ikiwa imetapakaa damu.

“Baada ya Kajala kuona hivyo alipandwa na presha kwa kuwa hakutegemea kuiona ikiwa katika hali kama hiyo,” kilidai chanzo hicho.Baada ya chanzo hicho kuweka nukta, Ijumaa lilimvutia waya Kajala ili kuweza kupata undani zaidi wa tukio hilo:
Ijumaa: Pole Kajala na mkasa uliokupata.
Kajala: Mkasa gani tena jamani.Ijumaa: Si wa kuibiwa nguo yako ya ndani na kuikuta imetobolewa huku ikiwa na damu!Kajala(Mshangao) hiyo habari mmeipata wapi nyie kweli dunia haina siri, yeah! Ni kweli ilitokea lakini sitaki kuizungumzia sana hivi vitu si vya kuanika kila mtu ajue, nashukuru Mungu kwa kunipigania.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top