Wiki
iliyopita tuliongea katika leo tena juu ya kisa cha Marehemu Nasra
pichani.Mama huyu alikuwa mkazi wa Bunda mkoani Mara lakini Dar es
salaam alifika kufanya matibabu katika hospital ya Muimbili.Kwa miaka
takribani 23 alikuwa mke wa bwana Elia Makumbati na kujaaliwa kupata
watoto wanne mkubwa kabisa yupo chuo kikuu cha UDOM.Kwa miaka yote
wamekuwa na misuko suko sana kwenye ndoa mama akiwa anapigwa sana hata
kuchanwa na viwembe.
Mwezi
wa pili walitofautiana baada ya bwana kuoa mke mwingine.Wakiwa
wametofautiana na Nasra kuendelea na maisha siku hiyo bwana akamfata
akamkuta barabarani anatoka kazini.Akiwa na rafiki yake wanatembea
akamfungia breki mguuni akamwambia anataka kuongea nae.Nasra akakataa
akamwambia kama kuna maongezi hawezi kuongea nae kama vipi amfate
nyumbani huku anaendelea kutembea.Bwana yule akamfata kwa nyuma
akamgonga na gari na baada ya Nasra kuanguka akanasa chini hivyo
kuendelea kumburuza umali wa kama mita 150 hivi.Alipofika kwenye tuta
akanasuka bwana ndio kushuka kwenye gari kukimbia.
Kiukweli
aliumia sana sana ngozi yote ya mgongoni,mbavuni,makalio,ikavuka na
kubaki kwenye lami.Sikio lake la kushoto lote likaliwa na lami,mbavu 7
zilivunjika pamoja na mguu.Akapelekwa hospitali na baadae kulazwa
Bugando Mwanza lakini ikawa anahitajika kuhamishiwa hospital ya
Muhimbili kwa matibabu zaidi.Akiwa muhimbili alikuwa na hali mbaya sana
baadae ikathibitika kuwa ameumia ndani kwa ndani kwani alibadilika sana
akavimba na kuwa mweusi.Kwamuda wote wa miezi takribani sita alikuwa
katika maumivu makali na bahati mbaya hakuweza kupambana tena kupigania
maisha yake.
Nasra pichani kulia mwenye kilemba chekundu akiwa na ndugu zake wakati akiwa mzima.
Usiku
wa kuamkia jumanne ya tarehe 10 Nasra akaaga dunia.Ilikuwa ni huzuni
sana jinsi alivyoteseka na namna mazingira ya kifo chake
kilivyotokea.Tulikuwa na matumaini kuwa angeweza kupona maana dakika za
mwisho alikuwa anaongea japo kwa shida.
Tunaomba mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu Nasra mahala pema peponi,Amina.
Hii ni picha ya muwewe Elia
Makumbati ambae mpaka sasa anatafutwa na jeshi la polisi kwa kitendo cha
kinyama alichokifanya.Jeshi la polisi mkoani Mara wanafanya juhudi za
kila namna kumkamata lakini amekuwa akikimbia mara aonekane
Kenya,Botswana na kwengineko lakini bado hajakamatwa.Kwa utakae muona
usisite kutoa ripoti zake.Mpaka askari wa upelelezi wa kimataifa
interpol ina taarifa zake.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >