Kamanda wa Polisi wa kikosi cha usalama Barabarani Mohammed Mpinga,akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani ofisini kwake jijini Dar es Salaam jana.
Baadhi
ya waandishi wa habari waliohudhuria mkutano na Kamanda wa Polisi wa
kikosi cha usalama barabarani Mohammed Mpinga jijini Dar leo.(Picha na
Emmanuel Massaka).
Na Chalila Kibuda.
KIKOSI
cha Usalama Barabarani kimesema wanazifuta leseni zote kwa madereva
waliosababisha ajali kwa uzembe zikiwemo ajali za hivi karibuni.
Hayo
ameyasema jana jijini Dar es Salaam,Kamanda wa Polisi wa Kikosi cha
Usalama Barabarani,Mohamed Mpinga,amesema katika kukabiliana na wimbi la
ajali ni pamoja na kufuta leseni kwa madereva wazembe ambao
wanasababisha ajali.
Mpinga
amesema ajali za hivi karibuni zimesababishwa na uzembe wa madereva,
hivyo ni lazima kufuta leseni zao na hawatakiwi kufanya kazi yoyote ya
udereva nchini pamoja na kuweka katika tovuti taarifa zao ili watu
wengine wasiwachukue.
Amesema
katika usafiri wa mabasi watakuwa wanaangalia muda kutoka sehemu hadi
nyingine na basi ambalo litakuwa mbele ya muda uliopangwa katika eneo
husika hatua zitachukuliwa.
Mpinga
ametoa pole kwa wafiwa waliopoteza maisha katika ajali za hivi karibuni
na kusema wale wote waliosababisha ajali hizo watafutiwa leseni na
hatua zingine kufuta ili madereva wengine wasifanye makosa hayo.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >