Mganga
Mfawidhi wa Hospitali ya mkoa wa Kigoma,Maweni akiongeza na Waandishi
wa habari juu ya tukio la radi lililotokea hivi punde na kuuwa watu 8
Na Editha Karlo Karlo wa blog ya jamii,Kigoma.
WATU
wanane wakiwemo wanafunzi sita na mwalimu wa shule ya msingi kibirizi
mmoja pamoja na mtu wa kawaida mkazi wa eneo la Bangwe mjini hapa
wamekufa baada ya kupigwa na radi huku wanafunzi wengi 15 wakijeruhiwa
na radi hiyo mchana huu.
Mganga
mfawidhi wa Hospitali ya Mkoa wa kigoma(maweni)Dkt Fadhili Kabaya
alisema kuwa watu hao walifikwa na mauti hayo kufiatia mvua kubwa
zilizonyesha zikiambana na radi zilianza majira ya saa sita mchana.
Dkt
Fadhili aliwataja waliokufa katika tukio hilo kuwa ni pamoja na mwalimu
wa shule ya msingi kibirizi, Elinaza Mbwambo(25),mtu mwingine wa kaida
ni Forcus Ntahaba(45) mkazi wa eneo la Bangwe mjini hapa.
Aliwataja
wanafunzi waliofariki ambao wote ni wa darasa la kwanza kuwa ni Yusuph
Ntahoma(8),Hassan Ally(9),Fatuma Sley(7),Zamda Seif(8),Shukranmi
Yohana(7) na Warupe Kapupa(10).
Alisema
walipokea majeruhi kumi na tano lakini kati yao kumi wametibiwa na
kuruhusiwa kurudi nyumba baada ya hali zao kuwa nzuri na watano
wamelazwa wanaendelea na matibabu katika hospital ya Mkoa wa Kigoma.
Akisimulia
tukio hilo mwalimu aliyekuwa anafundisha darasani Mwalimu Merina Sililo
alisema kuwa akiwa darasani akiendelea kufundisha ghafla aliona wingu
zito jeusi limetanda hadi akashindwa kuendelea kuandika ubaoni.
''Manyunyu
yalianza kidogo kidogo ikaja mvua kubwa na radi pamoja na miungurumo
mikali sana iliyopelekea wanafunzi kuanguka ovyo darasani na kuzima na
mara niliona moto umetanda katika chumba kizima cha darasa na mimi
nilianguka chini na kupoteza fahamu'' alisema mwalimu huyo
Alisema
alipozinduka alijikuta katika hospital ya Mkoa wa maweni akipatiwa
matibabu baada ya kuletwa kwa msaada wa waalimu wenzie.
''Kwakweli
ni mungu tu mwenyewe ndo ameninusuru kwani nilirushwa mara tatu na radi
na watoto wote darasani walikuwa wananiangukia mimi wengine walikuwa
wanakimbia ovyo nje'' alisema Mwalimu huyo
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >