Elimu haina mwisho! Unaikumbuka ile
stori ya bibi wa Kenya mwenye miaka 90 ambaye alikuwa anasoma shule ya
msingi akiwa darasa la tano na watoto wadogo ambao ni sawa na wajukuu
zake Kenya?
Nna hii nyingine toka Marekani, bibi anaitwa Marie Hunt.. yeye nd’o ametoka kuhitimu masomo ya ngazi ya Diploma, River Valley High School huku akiwa na umri wa miaka 103.
Marie angeweza kuhitimu elimu hiyo miaka 87 iliyopita lakini haikuwa hivyo kutokana na sababu mbalimbali
Marie anayeishi Wisconsin, Marekani amesema
sababu kubwa iliyomfanya kushindwa kuendelea na masomo wakati akiwa
mdogo ni kukosa fedha na pia kuwa na jukumu la kuwaangalia wadogo zake.
Hunt alitakiwa kumaliza masomo mwaka 1928… alitamani siu moja kutimiza ndoto zake za kusoma na sasa amehitimu Diploma katika shule River Valley High School.
Bado haijafahamika kama ataendelea na masomo zaidi lakini amesema anatamani kuwa mmoja wa wahitimu wa chuo kikuu.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >