DUSTAN SHEKIDELE, MOROGORO
KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina moja la Shabani ambaye ni dereva wa bodaboda wa Kijiji cha Mkuyuni, Tarafa ya Matombo Wilaya ya Morogoro Vijijini, amenusurika kifo baada ya kupokea kichapo kutoka kwa wananchi akidaiwa kugonga basi la wasanii waliotoka Dar kuja kushiriki mazishi ya marehemu Abdul Bonge kijijini hapa.
Kwa mujibu wa chanzo, bodaboda huyo aligonga basi hilo dogo aina ya Toyota Coaster sehemu ya mbele alipokuwa akijaribu kuyakwepa magari mengi yaliyofurika eneo hilo la msiba ambapo inadaiwa alipoteza umakini baada ya kumuona Diamond ndipo akagonga.
Baada ya kutokea ajali hiyo, umati wa watu ulitoka msibani na kwenda kumshushia kichapo bodaboda huyo kama fundisho kwani ilidaiwa kuwa madereva wengi wa bodaboda kijijini hapa wana kasumba ya kuendesha kwa kasi bila uangalifu.
“Hawa wanaleta masihara sana barabarani, wanaendesha kwa fujo, hawapo makini sasa dawa yao ni kuwakong’ota wapate adabu,” alisikika jamaa mmoja aliyekuwa akimpa kipondo bodaboda huyo.i
Hata hivyo, shuhuda mmoja alimtetea bodaboda huyo kwa kusema hakugonga kwa makusudi lakini aliyemponza ni Diamond.
“Alikuwa anamshangaa Diamond huku anaendesha ndipo akagonga,” alisema shuhuda huyo.
Baada ya kumpa kipigo hicho, mwanahabari wetu alimshuhudia dereva wa basi hilo akishirikiana na wenzake wakimchukua bodaboda huyo na pikipiki yake hadi Kituo cha Polisi Mkuyuni ambako walifanya mazungumzo ili bodaboda huyo alipe fedha za matengenezo ya gari hilo
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >