Habari yako Zee La Udaku,
Kwanza kabisa, kwenye maelezo yangu nakuomba usionyeshe jina langu. Binafsi huwa naipenda sana blog yako, na kiukweli nimekuwa nikiifatilia sana.
Mimi ni Mtanzania ila kwa sasa naishi kwenye nchi moja iliyopo Barani Asia nikiwa nasoma.
Ipo hivi, nimekuwa kwenye mahusiano na boyfriend wangu kwa zaidi ya mwaka sasa, mtu ambaye naye yupo huku nilipo.
Wiki chache zilizopita amebadilisha status yake ya mahusiano kwenye Facebook, na kwa sasa inaonyesha yupo kwenye mahusiano na mwanamke mwengine na sio mimi.
Nilijisikia vibaya sana , nilipomuuliza aliniambia hakuna lolote linaloendelea kati yake na mwanamke huyo na cha msingi anasema nimuamini....
Ila hataki kuitoa hiyo status, anasema ataitoa muda mwingine sio kwa sasa. Kwa muda wa wiki sasa tumekuwa tukizungumza na kiukweli nampenda sana, sijui cha kufanya.
Tafadhali naomba ushauri, nachanganyikiwa....
Asante.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >