
Inauma sana! Mtoto mzuri wa kiume aitwaye Jumanne Mwinyimbegu, mwenye umri wa mwaka mmoja amefariki dunia ghafla muda mfupi baada ya kufanyiwa sherehe ya kutimiza mwaka mmoja ‘bethidei’.

Akizungumza na Ijumaa Wikienda kwa uchungu mama mzazi wa mtoto huyo, Khadija Salum alisema: “Inaniuma sana jamani. Jumanne ni mtoto wangu pekee ambaye ametimiza umri wa mwaka mmoja. Nikaona nimfanyie ‘bethidei’.
“Niliwashirikisha majirani zangu, cha ajabu baada ya sherehe kukamilika majira ya saa 3:00 usiku mwanangu alijisikia uchomvu, nikaenda kumlaza lakini hakuamka tena.
“Nimemkimbiza kwenye Zahanati ya Ngeta (Mwembesongo), nilipofika manesi walimcheki wakaniambia mbona amekufa muda mrefu, nikarudi nyumbani nikiwa nalia,” alisema Khadija na kuongeza:
“Baada ya uchunguzi wa madaktari ilibainika kuwa kilichomuua mwanangu ni upungufu wa damu mwilini lakini niliwaambia alikuwa haumwi na alifurahia bethidei vizuri na wenzake.”
Mwili wa mtoto huyo ulihifadhiwa kwenye Makaburi ya Kola huku wana familia wakimwachia Mungu kwani kuna waliotaka kuhusisha tukio hilo na ushirikina.
Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >
Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >