Habari Kali
Loading...

MWANAMKE ARUKA UKUTA, AIBA MASHUKA NA DEKI

Mbinu Za Kumfikisha Kileleni Mwanamke Mwenye Makalio Makubwa Kwa Haraka, Bonyeza Hapa chini== >
Dunstan Shekidele
Mwanamke aliyefahamika kwa jina la Asha Saidi, hivi karibuni alikiona cha moto baada ya kufumwa akiiba mashuka na deki kwenye nyumba ya jirani yake.Tukio hilo lilitokea mtaa wa Mawenzi ambao mama huyu anaishi, inadawa aliruka ukuta na kukutwa na mama mwenye nyumba anayeitwa Zainabu akifanya uhalifu huo.

Asha Saidi akiwa na Deki aliyodaiwa kuiiba.
Ilidaiwa kuwa baada ya Zainabu kushuhudia tukio hili alipiga kelele za mwizi ndipo watu walipojitokeza na kumtaiti.Hata hivyo, wakati mwanamke huyo akiwa chini ya ulinzi wa raia, polisi walifika na kumtia nguvuni  na alipoulizwa sababu ya kuiba alijitetea.
“Jamani naomba mnisamehe ninaumwa na maisha yangu ni magumu, nasumbuliwa na Malaria hivyo niliona njia ya kujipatia matibabu ni hii kwani sikuwa na hela kabisa,” alisema Asha. 

...Akiwa mikononi mwa polisi.
Wapangaji waliokuwa kwenye nyumba hiyo walisema kuwa kabla ya tukio hilo jana yake kulitokea wizi wa simu ambayo ilisababisha mtafaruku baina ya wapangaji lakini hawakumpata mwizi hivyo wakadai huenda Asha alihusika.Hata hivyo, polisi waliofika eneo la tukio walimchukua mwanamke huyo na kumpelekea kituoni kwa mahojiano zaidi.

Hizi ndio sehemu 12 zinazompa Raha mwanamke wakati wa Tendo, Bonyeza Hapa chini== >


Ugandan socialite Zari is undeniably hot and Diamond Platnumz cannot be blamed for going kookoo for her, Besides her looks, she is also ambitious and rich. Born on 23rd of September 1980, Zari grew up in Jinja and after high school she moved Kampala where she performed karaoke in hang-outs. She later moved to London and acquired a diploma in cosmetology. She now lives in South Africa where she runs cosmetics shop while pursuing a career in music. She shared some of her never before seen photos from back in the day and she was still hot. Check her out:
BONYEZA HAPA CHINI KUANGALIA VIDEO CHAFU YA AGNESS MASOGANGE== >

TOA MAONI YAKO KUHUSU HABARI HII.. HAPA CHINI
Newer Posts Older Posts
© Copyright ZEE LA UDAKU | Designed By Code Nirvana
Back To Top